Marekani imedhamiria kwa dhati kusaidia chaguzi huru, za haki na zilizo jumuishi. Uendeshaji mzuri wa chaguzi si muhimu tu kwa Waafrika, bali pia kwa watetezi wa demokrasia duniani kote. Tunaamini kuwa ni lazima pande zote husika zishiriki kwa amani katika mchakato wa kidemokrasia. Ukandamizaji na vitisho havina nafasi katika jamii za kidemokrasia.
Baada ya kuwa na heshima ya kuitumikia nchi yangu kama balozi kwa zaidi ya miaka 30 - 22 kati yazo katika nchi nane tofauti za Afrika - wiki hii nina fursa kwa mara ya kwanza kusisitiza maslahi ya Marekani kwa na uwajibikaji kwa bara hili katika Mkutano wa Jumla wa Umoja wa Kimataifa.
President Donald J. Trump welcomed President Uhuru Kenyatta of Kenya to the White House today. In marking 55 years of diplomatic relations between the United States and Kenya, and in recognition of the growing scope and depth of the engagements between the two countries,
PRESIDENT TRUMP: Well, thank you very much. We are with President Kenyatta of a wonderful country that we do a lot of business with, Kenya. One of the most beautiful countries, from what I understand, Mr. President.
Hii leo, Melania Trump aliungana na Rais Donald J. Trump kuwakaribisha Rais Uhuru Kenyatta wa Jamhuri ya Kenya na Mkewe, Margaret Kenyatta kwenye Ikulu.
RAIS TRUMP: Asante sana. Ni vizuri kuwa na Rais Kenyatta wa Kenya, na mke wa Rais Kenyatta. Asante sana kwa kuwa hapa. Ni heshima kubwa.
Tuna uhusiano mzuri sana na Kenya. Tuna ugaidi, biashara nyingi, zinazoongezeka kila mara.
Leo, ambapo ni maadhimisho ya miaka ishirini tangu kulipuliwa kwa balozi za Marekani jijini Nairobi, Kenya na Dar es Salaam, Tanzania, tunawakumbuka waathiriwa wa mashambulizi haya ya kigaidi. Shambulio hili, lililotekelezwa na al-Qa’ida, lilisababisha vifo vya zaida ya watu 250 na kujeruhi wengine takribani 5,000.